WAWEKEZAJI WAPATIWA VITALU VYA MAFUTA MANGAPWANI

  • Home
  • ZURA
  • WAWEKEZAJI WAPATIWA VITALU VYA MAFUTA MANGAPWANI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki ghafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi na Ugawaji wa Vitalu kwa ajili ya ujenzi wa Bohari za Mafuta Mangapwani.

Hafla hiyo ilimefanyika tarehe 22 Machi 2026, na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.
Hussein Ali Mwinyi, ameweka rasmi jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo mkubwa wa kimkakati.

Dkt. Mwinyi amesema Ujenzi wa bohari za Nafuta katika bandari hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar katika kuendeleza miundombinu ya kisasa itakayoiweka Zanzibar katika nafasi bora ya ushindani.

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)