ZURA YATOA ELIMU KUPITIA MAONESHO YA MEI MOSI UNGUJA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Dimani Dole Zanzibar kuanzia Tarehe 27/04/2026 mpaka 05/05/2026. Maonesho hayo yameandaliwa na Chama cha Wafanyakazi (ZATUC) yalifunguliwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Ndg. Sharif Ali Sharif na kufungwa na Mwenyekiti wa…





