Sabry Muhamed

  • Home
  • Author: Sabry Muhamed

ZURA YATOA ELIMU KUPITIA MAONESHO YA MEI MOSI UNGUJA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Dimani Dole Zanzibar kuanzia Tarehe 27/04/2026 mpaka 05/05/2026. Maonesho hayo yameandaliwa na Chama cha Wafanyakazi (ZATUC) yalifunguliwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Ndg. Sharif Ali Sharif na kufungwa na Mwenyekiti wa…
Read More

ZURA YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI BORA 2026

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi amewakabidhi Vyeti na Fedha Taslim Jumla ya Wafanyakazi Saba (7) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)  katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika Kitaifa Dole Mkoa…
Read More

WAWEKEZAJI WAPATIWA VITALU VYA MAFUTA MANGAPWANI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki ghafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi na Ugawaji wa Vitalu kwa ajili ya ujenzi wa Bohari za Mafuta Mangapwani. Hafla hiyo ilimefanyika tarehe 22 Machi 2026, na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
Read More

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)