ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA 2024
By Rahma Thabit
/ April 22, 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Biashara kuadhimisha miaka 60 Muungano...
Read More
ZURA YASHIRIKI ZIARA YA NAIBU WAZIRI WMNM PEMBA
By Rahma Thabit
/ April 9, 2024
Watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wameshiriki ziara ya kusikiliza changamoto na malalamiko...
Read More
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA MARASHI YA KARAFUU PEMBA
By Rahma Thabit
/ February 27, 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Maonesho ya Marashi ya Karafuu ya Wajasiriamali...
Read More
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA KUMI YA BIASHARA
By Rahma Thabit
/ January 17, 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya kumi ya biashara yanayofanyika Nyamanzi Zanzibar kuanzia Tarehe...
Read More
ZURA YASIMAMIA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA MAFUTA MELITANO, PEMBA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR.
By Rahma Thabit
/ January 5, 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) imesimamia uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Mafuta (Coastal...
Read More
ZURA YAFANYA KIKAO KIFUPI NA ZBC KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YAO.
By Rahma Thabit
/ December 21, 2023
Mkurugenzi Mkuu ZURA Ndg. Omar Ali Yussuf pamoja na watendaji wake wa Kitengo cha Uhusiano amefanya Kikao kifupi na Mkurugenzi...
Read More
ZURA YASHIRIKI KATIKA HAFLA YA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI YA KUPIKIA VIJIJINI MKOA WA KUSINI UNGUJA.
By Rahma Thabit
/ December 21, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki katika hafla ya Ugawaji wa Mitungi ya Gesi iliyoandaliwa na...
Read More
ZURA YAPOKEA CHETI CHA SHUKRANI KWA UDHAMINI WA TIMU YA TAIFA ZANZIBAR KATIKA MASHINDANO YA CECAFA U-15
By Rahma Thabit
/ December 19, 2023
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Ndg. Omar Ali Yussuf amepokea Cheti...
Read More
ZURA YASHIRIKI TAMASHA LA UTALII PEMBA
By Rahma Thabit
/ December 7, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Tamasha la Utalii Pemba lilofunguliwa na Mgeni...
Read More
ZURA YASHIRIKI KATIKA WARSHA YA WADAU WA NISHATI.
By Rahma Thabit
/ November 16, 2023
Mamlaka ya Udhibiti Huduma Za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki warsha ya wadau wa maendeleo katika sekta ya nishati...
Read More
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA
By Rahma Thabit
/ November 2, 2023
Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Umeme kwa...
Read More
ZURA YAKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI
By Rahma Thabit
/ October 27, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao na Taasisi za serikali ambazo ni (ZAWEMA, ZRA,...
Read More
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA MAJI WILAYA YA MICHEWENI
By Rahma Thabit
/ October 16, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa Miundombinu ya Maji kwa kutembelea Visima...
Read More
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA UMEME WA JUA NJAU, PEMBA.
By Rahma Thabit
/ October 13, 2023
Mamlaka ya Udhidhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa Mradi ya Umeme wa Jua katika...
Read More
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA CHAKULA CHAMANANGWE PEMBA
By Rahma Thabit
/ October 12, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya Chakula duniani yanayofanyika Chamanangwe Pemba kuanzia Tarehe 10/08/2023...
Read More
ZURA YATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA ZANZIBAR.
By Rahma Thabit
/ October 8, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi wa Oktoba...
Read More
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA MAJI WILAYA YA KASKAZINI “A”
By Rahma Thabit
/ October 6, 2023
Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Maji kwa...
Read More
ZURA YATOA MAFUNZO KWA TRA NA ZRA PEMBA.
By Rahma Thabit
/ October 2, 2023
Mamlaka ya Udhidbiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar ZURA kupitia Afisi ya Pemba imendesha mafunzo ya siku nne...
Read More
ZURA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SKULI KWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR.
By Rahma Thabit
/ September 29, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetoa msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Wizara ya...
Read More
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA UMEME MKOA WA MJINI MAGHARIBI.
By Rahma Thabit
/ September 26, 2023
Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Umeme kwa...
Read More