ZURA YAKAA NA WADAU KUJADILI MPANGO WA UTEKELEZAJI WA MFUMO WA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA JUMLA KWA MWAKA 2025
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao na wadau wa Mafuta kwa lengo la kujadili Mpango wa Utekeleza wa Mfumo wa Uingizaji Mafuta kwa Jumla (BPS Impelentation Manual) kwa mwaka 2025, Makao Makuu ya ZURA Maisara, Unguja. Akiwasilisha utekelezaji huo Kaimu Meneja Kitengo cha…