ZURA YAANDAA KANUNI YA UBORA WA UMEME
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) kupitia Mradi wa ZESTA imefanya kikao na Wadau wa Umeme kwa lengo la kujadili Kanuni ya Ubora wa Huduma ya Umeme Zanzibar. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Madinat Al Bahr kikijumuisha Wadau kutoka Taasisi za Serikali zikiwemo ZECO,…