Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar. Mkutano huo umezungumzia changamoto na mikakati iliyowekwa na Wadau hao ili kusimamia Usalama, Afya na Mazingira ya ujenzi wa vituo hivyo pamoja na watumiaji wake.…