Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Biashara kuadhimisha miaka 60 Muungano wa Tanzania. Maonesho hayo yanafanyika Nyamanzi Unguja kuanzia tarehe 14/04/2024 mpaka tarehe 20/04/2024 na kushirikisha Wajasiriamali wa kisiwa cha Unguja pamoja na Taasisi za Serikali. Maonesho hayo yamefunguliwa na Mgeni…
Category: News
ZURA YASHIRIKI ZIARA YA NAIBU WAZIRI WMNM PEMBA
Watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wameshiriki ziara ya kusikiliza changamoto na malalamiko juu ya upatikanaji wa huduma ya Maji na Umeme kisiwani Pemba. Mamlaka imeshiriki ziara hiyo kuanzia Alhamis ya Tarehe 28/03/2024 hadi Jumatatu Tarehe 01/04/2024 iliyoongozwa na Naibu Waziri wa Maji,…
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA MARASHI YA KARAFUU PEMBA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Maonesho ya Marashi ya Karafuu ya Wajasiriamali wa Kisiwa cha Pemba. Maonesho hayo yanayofanyika Gombani Pemba kuanzia Tarehe 23/02/2024 mpaka Tarehe 25/02/2024 yamefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusimi Pemba Mhe. Mattar Zahor Massoud. Mamlaka imeshiriki katika…
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA KUMI YA BIASHARA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya kumi ya biashara yanayofanyika Nyamanzi Zanzibar kuanzia Tarehe 07/01/2024 mpaka Tarehe 19/01/2024. Ushiriki katika Maonesho hayo Mamlaka itapata fursa ya kutoa elimu kwa wadau wake wote watakaotembelea katika banda la Mamlaka. Aidha, pamoja na elimu inayotolewa kwa wananchi…
ZURA YASIMAMIA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA MAFUTA MELITANO, PEMBA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) imesimamia uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Mafuta (Coastal Fuel Service) Melitano ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Jiwe hilo la Msingi limewekwa Leo Tarehe 29/12/2023 katika eneo la…
ZURA YAFANYA KIKAO KIFUPI NA ZBC KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YAO.
Mkurugenzi Mkuu ZURA Ndg. Omar Ali Yussuf pamoja na watendaji wake wa Kitengo cha Uhusiano amefanya Kikao kifupi na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Ndg. Ramadhan Bukini akiambatana na watendaji wake. Lengo la kikao hicho ni kujadili kwa pamoja namna ya kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya Taasisi hizo mbili ili kuchochea…
ZURA YASHIRIKI KATIKA HAFLA YA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI YA KUPIKIA VIJIJINI MKOA WA KUSINI UNGUJA.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki katika hafla ya Ugawaji wa Mitungi ya Gesi iliyoandaliwa na Kampuni ya Orxy chini ya udhamini wa Mradi wa kuwawezesha wanawake na Vijijini kiuchumi (FAWE) iliyofanyika Tarehe 19/12/2023 maeneo ya Dunga Skuli Zanzibar. Aidha hafla hiyo ilifunguliwa na Mgeni Rasmi…
ZURA YAPOKEA CHETI CHA SHUKRANI KWA UDHAMINI WA TIMU YA TAIFA ZANZIBAR KATIKA MASHINDANO YA CECAFA U-15
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Ndg. Omar Ali Yussuf amepokea Cheti cha Shukrani kwa kuchangia Timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya Miaka 15 (Karume Boys) TZS 2,500,000. Cheti hicho kilikabidhiwa na Mrajis wa Vyama vya Michezo Zanzibar, Ndg. Abubakar Lunda…
ZURA YASHIRIKI TAMASHA LA UTALII PEMBA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Tamasha la Utalii Pemba lilofunguliwa na Mgeni Raismi Mwenyekiti wa Bodi wa Kamisheni ya Utalii Ndg. Ibrahim Baloo. Tamasha hilo limefunguliwa leo Tumbe Tarehe 28/11/2023 litakaloendelea mpaka Tarehe 03/11/2023. Tamasha hilo limekusanya shughuli za kiutamaduni na michezo…
ZURA YASHIRIKI KATIKA WARSHA YA WADAU WA NISHATI.
Mamlaka ya Udhibiti Huduma Za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki warsha ya wadau wa maendeleo katika sekta ya nishati kupitia Mradi wa Mabadiliko ya sekta ya nishati na ufikiwaji wa Huduma ya Umeme Zanzibar (ZESTA) uliopo chini ya Udhamini na Benki kuu ya Dunia Chini ya Usimamizi wa Wizara…