ZURA YASHIRIKI MAONESHO Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya kilimo (Nane Nane) yanayofanyika kizmbani Zanzibar kuanzia Tarehe 01/08/2023 mpaka Tarehe 10/08/2023. Ushiriki wa maonesho hayo utaipa Mamlaka fursa ya kuweza kutoa elimu kwa wadau wake wote watakaotembelea katika banda la Mamlaka na kuweza kujua…
Author: Rahma Thabit
ZURA YAKUTANA NA WADAU WA GESI.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao na wadau wa Gesi kwa lengo la kujadili muongozo wa ujenzi wa miundombinu ya gesi ya kupikia (LPG), Kilichofanyika katika ofisi za ZURA maisara, Siku ya Alhamis ya Tarehe 27/07/2023 na Siku ya Ijumaa ya Tarehe 28/07/2023.…
ZURA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA EREA.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki Mimkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Jumuiya ya Wadhibiti wa Nishati Afrika Mashariki (EREA). Mkutano huo ulifanyika kuanzia Tarehe 06 mpaka 13 Julai 2023, katika Hoteli ya Mount Meru Arusha, Tanzania Tarehe 13 Julai 2023.