Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Umeme kwa kukagua Transfoma za usambazaji wa Umeme majumbani katika Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja. Mamlaka kwa kushirikiana na Mtendaji kutoka Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)imefanya ukaguzi huo tarehe 26/10/2023…
Author: Rahma Thabit
ZURA YAKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao na Taasisi za serikali ambazo ni (ZAWEMA, ZRA, TRA, SHIPCO, ZBS, DOSH pamoja na Idara ya nishati, wadau hao wanaohusika na taratibu za uletaji wa mafuta nchini, kikao hicho kilifanyia leo tarehe 27/10/2023 katika ofisi za ZURA maisara.…
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA MAJI WILAYA YA MICHEWENI
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa Miundombinu ya Maji kwa kutembelea Visima viwili na Matangi yanayosambaza Maji yaliyojengwa kwa mradi wa Uviko – 19 matangi mawili hayo ni tangi la kilindi kironjo na Makangale katika Wilaya ya Micheweni Mjini Mkoa wa Kaskazini…
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA UMEME WA JUA NJAU, PEMBA.
Mamlaka ya Udhidhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa Mradi ya Umeme wa Jua katika Kisiwa cha Najau, Pemba ili kuona maendeleo na hali halisi ya uzalishaji na usambazaji wa huduma ya Umeme katika Kisiwa cha Njau. Mkaguzi Umeme ZURA Ndg. Abdulla Khamas amepata nafasi…
ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA CHAKULA CHAMANANGWE PEMBA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya Chakula duniani yanayofanyika Chamanangwe Pemba kuanzia Tarehe 10/08/2023 mpaka Tarehe 16/08/2023. Ushiriki katika Maonesho hayo utaipa Mamlaka fursa ya kuweza kutoa elimu kwa wadau wake wote watakaotembelea katika banda la Mamlaka na kuweza kupata elimu juu ya huduma…
ZURA YATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA ZANZIBAR.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi wa Oktoba 2023 ambazo zitaanza kutumika rasmi Siku ya Jumatatu Tarehe 09/10/2023. Bei zilizotangazwa kwa Mwezi Oktoba ni kama zifuatazo Petroli TZS 3,001, Dizeli TZS 3,012, Mafuta ya Taa TZS 2,921 na…
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA MAJI WILAYA YA KASKAZINI “A”
Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Maji kwa kukagua visima mbali mbali vya usambazaji wa Maji majumbani katika Wilaya ya Kaskazini “A” . Mamlaka imefanya ukaguzi huo tarehe 27 Septemba 2023 kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Zanzibar…
ZURA YATOA MAFUNZO KWA TRA NA ZRA PEMBA.
Mamlaka ya Udhidbiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar ZURA kupitia Afisi ya Pemba imendesha mafunzo ya siku nne (4) kwa Uongozi na Watendaji wa TRA na ZRA ya Ushushaji wa mafuta katika bohari ya Wesha Pemba. Mafunzo hayo yamejikita zaidi katika suala zima la usimamizi wa zoezi la…
ZURA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SKULI KWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetoa msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA) Zanzibar. Vifaa hivyo vilikabidhiwa Afisa Utawala ZURA Ndg. Salum Shomari Salum kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu ZURA kwa lengo kupatiwa wanafunzi ikiwa ni zawadi…
ZURA YAFANYA UKAGUZI WA UMEME MKOA WA MJINI MAGHARIBI.
Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa ubora wa huduma ya Umeme kwa kukagua Transfoma za usambazaji wa Umeme majumbani katika Mkoa wa mjini magharibi Unguja. Mamlaka imefanya ukaguzi huo tarehe 26 Septemba 2023 kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) katika…