ZURA YATOA ELIMU YA UDHIBITI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE
Mamlaka ya Udhubiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika Dole-Kizimbani Zanzibar kuanzia Tarehe 01/08/2025 mpaka Tarehe 14/08/2024. ZURA inayatumia Maonesho hayo kama fursa ya kukutana na Wananchi na kutoa elimu kwa wadau wake wanaotembelea katika banda lake kujifunza kuhusu masuala ya…