https://www.zura.go.tz/wp-content/uploads/2021/06/BEI-MWEZI-JUNI-1.jpg Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/06/2021. Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) has announced the New Petroleum Prices which will be in effect officially from Wednesday 9th of June 2021.
Author: Hassan Amour
New Petroleum Prices which will be in effect officially from Sunday 9th of May 2021
https://www.zura.go.tz/wp-content/uploads/2021/05/TAARIFA-Bei-Mpya-08.05.2021.jpg Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumapili Tarehe 09/05/2021. Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) has announced the New Petroleum Prices which will be in effect officially from Sunday 9th of May 2021.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wa mafuta kujadili mipango na mikakati ya Sekta hiyo kuelekea mwaka mpya wa fedha 2021-2022.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wa mafuta kujadili mipango na mikakati ya Sekta hiyo kuelekea mwaka mpya wa fedha 2021-2022.
Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Labour Day)
Kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar. Mkutano huo umezungumzia changamoto na mikakati iliyowekwa na Wadau hao ili kusimamia Usalama, Afya na Mazingira ya ujenzi wa vituo hivyo pamoja na watumiaji wake.…
PETROLEUM PRICES APRIL 2021
https://www.zura.go.tz/wp-content/uploads/2021/04/Bei-ya-M-afuta-April.jpg NEW PETROLEUM PRODUCT PRICES FOR THE MONTH OF APRIL APRLIL 2021
HONGERA . MHE. DKT. PHILIP MPANGO
https://www.zura.go.tz/wp-content/uploads/2021/03/Makamu-wa-Rais.jpg
ZURA WATER INSPECTION
ZURA water Inspector during a routine inspection on Water wells in Unguja Island
NOTICE OF INVITATION FOR NOMINATION OF MEMBERS OF THE CONSUMER REPRESENTATIVES COUNCIL (CRC)
NOTICE OF INVITATION FOR NOMINATION OF MEMBERS OF THE CONSUMER REPRESENTATIVES COUNCIL (CRC)