WAFANYAKAZI BORA ZURA 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi amewakabidhi Vyeti na fedha Taslim Jumla ya Wafanyakazi watano (5) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika Kitaifa Nyamanzi Mkoa wa Kusini Unguja.

Wafanyakazi waliokqbidhiwa zawadi hizo ni pamoja na Ali Abdalla Ali Mkaguzi Umafuta, Ali Salum Moh’d Dereva, Samia Yussuf Moh’d Karani, Rajab Said Moh’d Mkaguzi Maji

ZURA ni miongoni mwa Taasisi za Umma inayojenga weledi wa Wafanyakazi wake ambapo kila Mwaka hutoa Wafanyakazi bora.

Archives

Categories

We understand the importance of approaching each work integrally and believe in the power of simple.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)
Shopping Cart (0 items)