Month: June 2025

ZURA YASHIRIKI UFUNGUZI WA KITUO CHA UJAZAJI GESI KWENYE MAGARI

Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika ufunguzi wa kituo cha kujazia gesi ya kupikia kwenye Magari (LPG Auto Gas Station) uliofanyika katika Bohari ya Kampuni ya ORYX Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja. Kituo hicho ni cha kwanza kufunguliwa Zanzibar na kina lengo la…
Read More

WAFANYAKAZI BORA ZURA 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi amewakabidhi Vyeti na fedha Taslim Jumla ya Wafanyakazi watano (5) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)  katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika Kitaifa Nyamanzi Mkoa…
Read More

ZURA YAANDAA KANUNI YA UBORA WA UMEME

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) kupitia Mradi wa ZESTA imefanya kikao na Wadau wa Umeme kwa lengo la kujadili Kanuni ya Ubora wa Huduma ya Umeme Zanzibar. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Madinat Al Bahr kikijumuisha Wadau kutoka Taasisi za Serikali zikiwemo ZECO,…
Read More

ZURA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA JICA

Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imkutana na JICA kwa lengo la kujadili Maendeleo ya Mradi wa Usimamizi wa Vyanzo vya Maji kikao kilichofanyika Leo Tarehe 19/05/2025 Makao Makuu ya ZURA Maisara. Unguja. Akifungua kikao Mrugenzi Mkuu ZURA Nd. Omar Ali Yussuf amesema Mamlaka ipo…
Read More

Archives

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)