Year: 2025

ZURA YAKUTANA NA WATUMIAJI WA ENEO LA BOHARI YA MAFUTA – MTONI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imelenga kuongeza idadi ya wawekezaji katika Sekta za Maji na Nishati kwavile wawekezaji wengi hutembelea na kuelezwa fursa za uwekezaji katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba Temeke, Dar…
Read More

ZURA YAKAGUA KITUO KINACHOENDEA NA UJENZI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa Kituo kipya kinachoendelea na ujenzi cha Kigomasha kilichopo Makangale Mkoa wa Kaskazini Pemba. Ukaguzi wa Kituo hicho ni hatua za kuifanyiakazi kanuni ya usimamizi wa Vituo vya Mafuta ya 2022 ili kuwa na Udhibiti bora wa…
Read More

UKAGUZI WA UJAZAJI NA UHIFADHI WA GESI UNGUJA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), imefanya ukaguzi wa Ghala za kuhifadhia na Vituo vya kujazia Gesi ya kupikia (LPG). Ukaguzi huo umefanyika katika Kampuni ya LAKE GAS iliyopo Machui Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na Kampuni ya ORYX iliyopo Masingini Mkoa wa…
Read More

ZURA YATOA ELIMU YA UDHIBITI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

Mamlaka ya Udhubiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika Dole-Kizimbani Zanzibar kuanzia Tarehe 01/08/2025 mpaka Tarehe 14/08/2024.  ZURA inayatumia Maonesho hayo kama fursa ya kukutana na Wananchi na kutoa elimu kwa wadau wake wanaotembelea katika banda lake kujifunza kuhusu masuala ya…
Read More

ZURA YAPONGEZWA KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imepongezwa na Viongozi waliotembelea Banda la ZURA kwa kutoa elimu na kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya maji na nishati. Pongezi hizo zilitolewa katika Jengo la Zanzibar katika Maonesho ya Maonesho ya 49 ya Biashara Dar es salaam (Sabasaba) ambapo…
Read More

ZURA YAKUTANA NA WADAU WA MAFUTA PEMBA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao na wadau wa  Vituo vya Mafuta Pemba kwa lengo la kusikiliza changamoto zao. Kikao hicho kimefanyika Tibirinzi katika Ofisi za ZURA Tawi la Pemba kwa kauwakutanisha wadau wote wa Vituo vya Mafuta wakiwemo Wamiliki wa Vituo hivyo.…
Read More

ZURA YASHIRIKI UFUNGUZI WA KITUO CHA UJAZAJI GESI KWENYE MAGARI

Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika ufunguzi wa kituo cha kujazia gesi ya kupikia kwenye Magari (LPG Auto Gas Station) uliofanyika katika Bohari ya Kampuni ya ORYX Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja. Kituo hicho ni cha kwanza kufunguliwa Zanzibar na kina lengo la…
Read More

WAFANYAKAZI BORA ZURA 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi amewakabidhi Vyeti na fedha Taslim Jumla ya Wafanyakazi watano (5) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)  katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika Kitaifa Nyamanzi Mkoa…
Read More

ZURA YAANDAA KANUNI YA UBORA WA UMEME

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) kupitia Mradi wa ZESTA imefanya kikao na Wadau wa Umeme kwa lengo la kujadili Kanuni ya Ubora wa Huduma ya Umeme Zanzibar. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Madinat Al Bahr kikijumuisha Wadau kutoka Taasisi za Serikali zikiwemo ZECO,…
Read More

ZURA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA JICA

Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imkutana na JICA kwa lengo la kujadili Maendeleo ya Mradi wa Usimamizi wa Vyanzo vya Maji kikao kilichofanyika Leo Tarehe 19/05/2025 Makao Makuu ya ZURA Maisara. Unguja. Akifungua kikao Mrugenzi Mkuu ZURA Nd. Omar Ali Yussuf amesema Mamlaka ipo…
Read More

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.