ZURA YAKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI

ZURA YAKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao na Taasisi za serikali ambazo ni (ZAWEMA, ZRA, TRA, SHIPCO, ZBS, DOSH pamoja na Idara ya nishati, wadau hao wanaohusika na taratibu za uletaji wa mafuta nchini, kikao hicho kilifanyia leo tarehe 27/10/2023 katika ofisi za ZURA maisara.

Lengo la kikao hicho ni kujadili Changamoto zinazojitokeza katika mfumo wa taratibu wa uletaji wa Mafuta kwa Pamoja na jinsi gani yakuzitatua Changamoto hizo ili kurahisisha matumizi mazuri ya mfumo huo.