Bodi ya Wakurugenzi ZURA imefanya ziara kisiwani Pemba
Bodi ya Wkurugenzi ZURA imefanya Ziara ya kutembelea Miundombinu ya huduma Zinazodhbitiwa na Mmamlaka ikiwemo miundombinu ya umeme wa jua, mindombinu ya maji na miundombinu ya mafuta.
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.OkPrivacy policy