Month: August 2025

ZURA YATOA ELIMU YA UDHIBITI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

Mamlaka ya Udhubiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inashiriki katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika Dole-Kizimbani Zanzibar kuanzia Tarehe 01/08/2025 mpaka Tarehe 14/08/2024.  ZURA inayatumia Maonesho hayo kama fursa ya kukutana na Wananchi na kutoa elimu kwa wadau wake wanaotembelea katika banda lake kujifunza kuhusu masuala ya…
Read More

ZURA YAPONGEZWA KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imepongezwa na Viongozi waliotembelea Banda la ZURA kwa kutoa elimu na kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya maji na nishati. Pongezi hizo zilitolewa katika Jengo la Zanzibar katika Maonesho ya Maonesho ya 49 ya Biashara Dar es salaam (Sabasaba) ambapo…
Read More

ZURA YAKUTANA NA WADAU WA MAFUTA PEMBA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao na wadau wa  Vituo vya Mafuta Pemba kwa lengo la kusikiliza changamoto zao. Kikao hicho kimefanyika Tibirinzi katika Ofisi za ZURA Tawi la Pemba kwa kauwakutanisha wadau wote wa Vituo vya Mafuta wakiwemo Wamiliki wa Vituo hivyo.…
Read More

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.